| Lokakuu 2008, Mosaiikki ry, verkkotunnus 1795-8717 | TAKAISIN PÄÄSIVULLE
|
Sirkku Suikkanen |
|
|
Somatisaatiohäiriö Venäjä Persia Burma Arabia Swahili -------------------- Kaamosmasennus ja väsymys Persia Burma Mawazo mazito wakati wa kiza- kaamos na uchofu Депрессивное состояние и усталость в тёмное время года -------------------- Pakkohäiriö Cиндром навязчивых состояний Arabia Burma Persia Ranska -------------------- Unettomuus Бессонница Burma Persia Swahili -------------------- Muistihäiriö Нарушения памяти Burma Persia Swahili Arabia -------------------- Maahanmuuttajan sopeutuminen ja mielenterveyspalvelut Jyväskylässä Адаптация иммигранта и служба психического здоровья в Ювяскюля Persia -------------------- Sopeutumisvaikeudet Трудности в адаптации Adaptation difficulties Burma Persia -------------------- Paniikkihäiriö Синдром панического состояния Persia Burma Thai -------------------- Masennus Депрессия Depression Persia Burma -------------------- Harhaluulo Маниакальная ревность Delusion Burma Persia -------------------- Traumaperäinen stressihäiriö Посттравматическое стрессовое расстройство Post-traumatic stress disorder Persia -------------------- Joustamaton luonne Неуступчивый характер Inflexible person Persia -------------------- Lapsen trauma Burma Persia -------------------- Monikulttuurinen avioliitto Многонациональный брак Burma Persia -------------------- Murrosikäisen kasvatusongelma Проблемы воспитания детей подросткового возраста Burma Persia -------------------- Ikääntyvän muistiongelmat Нарушения памяти стареющего человека Persia -------------------- Alkoholiongelma Проблема с алкоголем Burma Persia |
Mpendwa msaikoloji, Mimi niko na shida ya kulala. Sipati usingizi jioni kabla ya saa kufika saa nane usiku. Tena na amka baadaya saa mbili ikisha pita. Kuenda kwa masomo inabidi kuenda asubuhi mapema. Inabidi niamke asubuhi mapema nikitaka kuwahi na nisi chelewe basi. Nime kuwa nimesikia ushofu sana. Katika masomo nalalalala/ sinzia na siwezi kufikiri kamili na sina nguvu ya kusikia mafundisho vizuri. Mara nyingine nalala kwa muda mfupi wakati nafika nyumbani na jioni tena sipati kulala. Kichwani kuna mambo mengi yana sunguka na mara nyingi shida kuhusu maisha. Shida ya kupata usingizi ni onyo ya kawaida tu. Imekadiriwa kwamba Finland hata asili 20 % wako na shida ya kupata usingizi kwa kipindi mfulani au kipindi kirefu. Madawa ya kupata usingizi ni dawa moja ya kawaida ya kutumia nduniani. Shida ya kupata usingizi ni onyo inavyosumbua na ikiendelea kwa muda mrefu inaweza kusumbua maendeleo, afya na hata kutoa hamu ya kuishi. Shida ya kupata usingisi kwa kipindi mfulani kama siku chache ni kawaida kwasababu ya stress katika maisha kama stress ya mwili au kichwa. lakini mara chache tu inahitaji tibu au dawa. Hata wakati huo inasumbua sana na inaweza kuleta hofu ya kuogopa pia. Kuhusu maswali yako ni ngumu kujua kama kama shida imeendelea kwa muda mrefu na kama kuna mazazo mengine pia kuliko kuhama Finland. Katika maisha ya mkimbizi au kuhama nchi ambayo hujui inaleta uzito mbali mbali. Katika mantiki ambalo hujui vizuri kuna mambo mapya unayokuta kila siku na ile inaweza kuchocha mshipa. Mantiki ya maisha kama hii inaweza peke yake kufanya kwamba hupati usingizi. Kwa watu wengi shida kupata usingizi imeweza kuanza hata kabla ya kuhama Finland tuseme kama kuna uzoefu kimeshtuka sana au kama kuna mawazo magumu ya kichwa kilicho endelea muda mrefu. Wakati mtu hapati ndoto sehemu ya bongo tuna sema ”idara ya kulala” hawezi kushinda ndani ya bongo ”idara ya wa macho” ambayo inafanya kazi sana wakati muda wa kawaida ya kuanza kulala inakaribia. Siku za zamani walifikiri kwamba shida ya kupata usingizi ilikuwa pekeyake onyo ya kicwa. Wameona kwamba hata watu ambalo hawana shida na kichwa wamekuwa na shida ya kupata usingizi pia. Shida ya kupata usingizi inaweza kuwa pia mgonwa ya kiungo pia. Mkazo ya kiroho, mawazo ambalo kinasunguka kichwani, shinikizo ya kazi, mawazo kuhusu familia, dhiki ya kicwa na mara nyinki kama mtu anafariki karibu wako yanaweza kufanya kwamba mawazo yana sunguka sana kichwani ambayo inafanya kwamba idara ya wa macho inafanya kazi na inazuia usingizi kufika. Kama hii ni jibu kwa shida ya kupata usingizi hali inaweza kupona mwenyewe pekeyake. Kusaidia unaweza kutumia tibu yako au mara nyingine kutumia dawa pia. Dawa ya kupata usingizi ya siku hizi tunaweza kupata jibu nzuri kama kuna shida ya kupata usingizi kwa mud mfulani. Msaidizi ni lakini kwa mfupi tu na kutumia dawa ya kupata usingizi kwa siku nyingi infanya kwamba mwili inazoea na nguvu ya dawa inapungua. Njia ya kutumia pekee kwa ajili ya shida ya kupata usingizi kwa muda mfulani unapata shauri mwishoni wa karatasi hii. Wakati shida ya kupata usingizi inaendelea siku nyingi au wiki kwenye urari ya mwili kuna mabadiliko kwasababu ya upungufu ya usingizi. Upande mfulani wa mshipa yana fanya kazi sana. Mantiki kama hii ni mfano wakati mtu ana shida na mawazo mengi sana na inafanya kwamba kuna shida kupata usingizi. Kama ndoto si ya kawaida inasumbua na hormons ya mwili pia. Ile inaweza kufnya kwamba onyo yata kuwa mbaya zaidi. |